ENGLISH:

The mission of the SINONI Seventh-day Adventist Church , as the member of universal Seventh-day Adventist Church is to proclaim to all people the everlasting gospel in the context of the Three Angels' messages of Revelation 14:6-12. The commission of Jesus Christ compels us to lead others to accept Jesus as their personal savior and to unite with His church, and nurture them in preparation for His soon return. this mission is accomplished through preaching, teaching and healing ministries.


 

SWAHILI:

Utume wa kanisa la Waadventista wa Sabato Sinoni, kama ilivyo jumuiya ya kanisa la Waadventista wa Sabato ulimwenguni ni kutangaza Injili ya milele kwa watu wote, katika muktadha wa ujumbe wa malaika watatu wa Ufunuo 14:6-12. Utume wa Yesu Kristo unatubidisha kuwaongoza wengine kumkubali Yesu kama Mwokozi wao binafsi na kuungana na kanisa lake, na malezi yao katika maandalizi kwa ajili ya kurudi kwake upesi. Utume huu unakamilishwa kwa njia ya huduma za kuhubiri, kufundisha na uponyaji.








    "Mcheni Mungu na kumtukuza kwa maana saa ya hukumu Yake imekuja, msujudieni Yeye aliyeziiumba mbingu na nchi na chemchemi za maji..... Ufunuo 14:6-12."